Hatimaye Kukaya Miono wamaliza zoezi la kuezeka bati madarasa mawili S/M Miono
Umoja ulioazishwa na wana Miono wazawa waishio miono, nje ya miono na hata nje ya Tanzania kwa ujumla unaojulikana kama Kukaya Miono, Leo July 17 umefanikiwa kumaliza zoezi LA upauaje wa madarasa mawili shule ya msingi miono.
Zoezi hili la ujenzi wa madarasa kwa nguvu ya wazawa lilianza February 10 mwaka huu likiungwa mkono na wadau mbalimbali was maendeleo.
Zifuatazo ni picha kutoka shule ya msingi Miono zikionyesha muonekano halisi wa madarasa hayo
No comments