Rais wa Yanga, Hersi Said akiongea jambo na Kocha Mkuu pamoja na Kocha Msaidizi Moussa N’Daw Avic Town.
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said leo Julai 17, 2024 ametembelea mazoezi na kufuatilia maandalizi ya Kikosi hicho kuelekea msimu mpya wa 2024/25 Avic Town.
No comments