Header Ads

Header ADS

Kwenye Historia Leo Tujue Maana na Asili ya neno Kikaro

Maana na Historia ya Jina Kikaro

Na Admin - Omari Mtigo

Maana na Asili ya neno KIKARO..

Kwa mujibu wa Simulizi niliyopewa, Chikaro, Kwa Kizigua HECHIKALO

Ni sehemu ya kufanyia matambiko, hiyo sehemu ilikuwa Kwangoso katika kijiji cha Kikaro karibu na lilipo josho (Dipu) la wanyama.

"Wamakwiva….wetu mwaita kuhi?? Aanhh chaita HECHIKALO"..(kizigua) akiwa na maana kwamba

"Utasikia wakiuliza, wenzentu mnaenda wapi? Aanhh tunaenda HECHIKALO".. 

Hio ndio asili na maana ya neno KIKARO
—————————

Kama una maoni tuachia hapo chini 


No comments

Powered by Blogger.