Kiwangwa kucheza dhidi ya Miono Staff Ijumaa Hii July 26, 2024
Timu ya mpira wa miguu Kiwangwa imewaalika timu ya Miono staff katika uwanja wao wa nyumbani Kiwangwa, Mechi hio inatarajiwa kuchezwa siku ya ijumaa ya wiki hii ambayo itakuwa July 26, 2024
Hii ni mechi ya pili baada ya mechi ya kwanza iliochezwa wiki ilipita kati ya watumishi wa shule za msingi na watumishi wa shule za sekondari Miono, mechi ilichezwa siku ya ijumaa ilipita ya tarehe 19, July,2024 katika uwanja wa shule ya sekondari Kikaro,
Kama hukuyaona matokeo ya mechi hii na jinsi mtanange ulivyoenda Tafadhali Bofya hapa
No comments