Ujenzi wa Boma la Darasa shule Ya Msingi Miono wakamilika.
Maelezo kwa ufupi
Uzinduzi wa ujenzi wa darasa la shule ya msingi Miono ulizinduliwa tarehe 10/02/2024 na wana Miono waliounda group la WhatsApp linalojulikana kama Kukaya Miono yaani “Nyumbani Miono” Linaloundwa na wana Miono waishio Miono, nje ya Miono na hata nje ya nchi yetu ya Tanzania.
Hatua iliofuata baada ya uzinduzi wa ujenzi wa darasa.
Hatua ilifuata ilikuwa ni kupokea michango kutoka kwa wana group na wapenda maendeleo wengine kutoka taasisi na vikundi mbalimbali ikiwemo Kibindu Tunayoitaka, Chakaya Mkange Nk.
Zoezi la ujenzi lilianza rasmi siku ya pili yake baada ya uzinduzi huu na mpaka kufikia April 5, 2024 Ujenzi wa boma umekamilika kwa asilimia 100 na sasa hatua inayofuata ni kupaua.
Tazama picha mbalimbali zikionyesha jengo lilipofikia kwasasa.
Ukiwa kama mpenda maendelea unaruhusiwa kuchangia jitihada hizi za wananchi walioamua kuleta mabadiriko katika Kijiji chao, Kuchangia wasiliana na Admin Mkuu kwenye namba 0785 429 686 Omari Mtiga

No comments