Kukaya Miono yalipia bati 54 kwaajili ya kumalizia kuezeka madarasa mawilli S/M Miono
Omari Mtiga: Umelipa TZS1,431,000 kwenda 0767611576 RAMADHANI MOHAMED NGOMA.Makato Tsh 5,400.00( Ada Tsh 5,400.00 + Tozo Tsh 0.00). Salio Jipya Tsh. Muamala No: MP240710.1727.N37742 REFERENCE NO :VODAö0767611576öRAMADHANI MOHAMED NGOMA
Omari Mtiga: 👆🏽👆🏽👆🏽Malipo ya Mabati 54 ya Geji 28 @26,500 = TZS 1,431,000
Supplier ni ndugu yetu wa Kibindu. Kakubali malipo bila ada ya kutolea.
Tumefanya malipo leo Tar 10/07/2024.
Tunafanyia kazi usafiri. Kunapo majaliwa kesho au keshokutwa mzigo utakuwa Miono ili tumalizie kazi ya kuezeka
Omari Mtiga: KUKAYA MIONO
Ujenzi wa Madarasa S/M Miono
Ripoti ya Fedha
——————
1. Makusanyo ya Awamu ya Kwanza- Kabla ya Michango ya kila siku (Daily Collections) TZS 2,931,600
2. Matumizi - Kabla ya hatua ya Kupaua & Kuezeka TZS 2,834,400
3. Salio (Balance): (1) - (2) = TZS 97,200
4. Makusanyo ya Awamu ya 2 (Michango ya Kila Siku) - Kuanzia Tar 06/05/2024 mpaka Tar 30/05/2024 TZS 2,196,720
5. Salio kabla ya Kupaua & Kuezeka: (3) + (4) = TZS 2,293,920
5. Matumizi - Hatua ya Kupaua & Kuezeka
• 23/06 Fundi. 150,000
• 24/06 Kenchi 4*2 10@6,000 = 60,000
• 24/06 Fisha Bodi 10@15,000 = 150,000
• 24/06 Kuranda Fisha Bodi 10@1,500 = 15,000
• 24/06 Usafiri Mbao zote 10,000
• 28/06 Fundi 100,000
Jumla TZS 485,000
6. Salio: (Kabla ya Matumizi ya Leo): (5) - (6) = TZS 1,808,920
7. Matumizi ya Leo 10/07/2024
Mabati 54 Geji 28@26,500 = 1,431,000
8. Salio KUU (6) - (7) = TZS 377,920
9. Matumizi yanayofuata
• Fundi (Kumalizia Kuezeka TZS 50,000)
• Finishing - Plasta & Sakafu. Makisio: Cement 60, Mchanga Lori 6, Kokoto Lori 2
• Fundi - Finishing
10. Nini Kinafuata?
Tunatarajia kuhitimisha kazi ya Kuezeka mwisho wa wiki hii. Baada ya hapo tutakwenda kwenye finishing. Hapo tutahitaji kufanya makusanyo mengine
Shukrani
Mtiga O
10/07/2024
No comments