Michuano ya mpira wa miguu katika Jimbo la Chalinze Mkoani pwani, kata ya Pera, Imeanza kutimua vumbi rasmi leo July 22,2024, Michuano hio imepewa jina la Mkango CUP.
Hapa chini ni baadhi ya picha kutoka uwanjani zikionyesha timu zikiajiandaa kwaajili ya mechi kuanza
No comments