Mnada wa sita wa ufuta Mkoani Pwani kufanyika July 24 Wilayani Rufiji
Na Bhoke - Afisa kilimo Miono
Mnada wa tano wa Ufuta Mkoani Pwani umefanyika tarehe 17 Julai, 2024 Wilayani Mkuranga kupitia Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) ambapo Jumla ya kilo 1,195,189 za Ufuta ziliuzwa kwa bei ya juu ya shilingi 3,550/= na bei ya chini ya shilingi 3,380/= Wakulima walikubali kuuza kwa bei ya wastani ya shilingi 3,503.72.
Mnada ujao utafanyika tarehe 24 Julai 2024 Wilayani Rufiji.
No comments