Mufti Cup: Timu ya Veteran yaitoa CRDB kwa mikwaju ya penati.
Katika Shamra shamra za Mwaka Mpya wa Kiislamu 1446 H, Bakwata Mwanza wazee kazi
Kombe la Mufti
Jana Jumatano ya tarehe 3 July 2024, Katika Uwanja wa Nyamagana kulikuwa na Mtifuano Mkali Kati ya Timu ya Veteran na CRDB.Timu ya Veteran imefanikiwa kuendelea na Michuano kwa kuwatoa CRDB Kwa Mikwaju ya Penalti.
No comments