Header Ads

Header ADS

Waziri Nape Nnauye Atenguliwa, nafasi yake yachukuliwa na Jerry Slaa

Waziri Nape Nnauye Atenguliwa, nafasi yake yachukuliwa na Jerry Slaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhe. Jerry William Silaa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari akichukua mikoba ya Nape Moses Nnauye ambaye uteuzi wake umetenguliwa akiwa katika tamasha la utoaji wa tuzo katika Ukumbi wa Mlimani City akiwa kama mgeni rasmi.

Kabla ya uteuzi huu Mhe. Silaa alikuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.Rais Samia Atengua Uteuzi Wa Waziri Nape Nnauye
Rais Samia Atengua Uteuzi Wa Waziri Nape Nnauye

No comments

Powered by Blogger.