Header Ads

Header ADS

Orodha ya Mahitaji ya Vifaa vya Madrasa Kata ya Miono

Orodha ya Mahitaji ya Vifaa vya Madrasa Kata ya Miono

1)Madrasat Kadiria Kwamkopi

a)Mabusati 3
b)Juzuu 25
c)Misahafu 10

2)Madrasat Shamsia Kwamkopi

a)Juzuu 30
b)Risalatani 15

3)Madrasat Nuru Kunduchii

a)Mabusati 2
b)Juzuu 35
c)Misahafu 10

4)Madrasat Shadhilia Kunduchi

a)Mabusati 2
b)Juzuu 15

5)Madrasat Kadiria Misufini

a)Mabusati 3
b)Juzuu 40
c)Misahafu 7

6)Madrasat Jamial Islaamia kwangoso

a)Juzuu 50
b)Misahafu 10
c)Busati 1

7)Madrasat kipera

a)Mabusati 2
b)Juzuu 25

8)Madrasat jamial Islamia makao makuu

a)Busati 1
b)Risalatani 20
c)Irshaadul Ikhwani 15

9)Madrasat Kwatonganya

a)Mabusat 4
b)Juzuu 40
c)Misahafu 4

10)Madrasat Mafungo

a)Mabusati 2
b)Juzuu 25
c)Misahafu 3

11)Madrasat Annisaa

a)Mabusta 2
b)Juzuu 15
c)Misahafu 5

12)Madrasat mihuga

a)Busati 1
b)Juzuu 10
c)Misahafu 2

13)Madrasat shamsia Masimbani

a)Mabusati 2
b)Risalatani 10
c)Juzuu 30
d)Misahafu 3

14)Madrasat Michungwani Masimbani

a)Mabusati 3
b)Juzuu 30
c)Misahafu 2

15)Madrasat kaziliwa maka Masimbani

a)Mabusati 3
b)Juzuu 35
c)Misahafu 5

16)Madrasat Kweikonje

a)Mabusati 2
b)Juzuu 40
c)Misahafu 10

17)Madrasat Ngorongoro Kweikonje

a)Mabusati 2
b)Juzuu 20
c)Misahafu 5

18)Madrasat Tawheed kambini

a)Mabusati 2
b)Juzuu 20
c)Misahafu 5

19)Madrasat Komsanga

a)Mabusati 2
b)Juzuu 20
c)Misahafu 3

Jumla ya mahitaji

1)Mabusati 37
2)Juzuu 475
3)Misahafu 84
4)Risalatani 45

Bei zake

1) Mikeka=37@38,000
2)Juzuu =500@
3)Misahafu =3000@
4)Risalatani =1000@

Jumla kuu

1)Mikeka 37=1,406,000
2)Juzuu 475=237500
3)Misahafu 84=252000
4)Risalatani 45=45000

TAARIFA YA MAHITAJI YALIYO PATIKANA HADI SASA.

1. Juzuu 400
2. Misahafu 84

MAHITAJI YANAYOHITAJIKA.

1. Mikeka 37 = 1,406,000
2. Juzuu 75 = 37,500
3. Risalatani 45 = 45,000 ( hivi tumepewa ahadi kupatikana)

Toa sadaka yako kwaajili ya kuandaa akhera yako Kesho wasiliana na Uongozi wa Miono Muslim kuchangia sadaka yako


1 comment:

  1. Toa sadaka yako kwa uongozi wa miono muslim ili kusidia mahitaji ya msingi Katika madrasa za kata ya Miono na vijiji jirani

    ReplyDelete

Powered by Blogger.