Picha na Video: Uzinduzi wa masjid kwangoso Miono
Asalam Alykum Hapa ni katika uzinduzi wa Msikiti wa Kwangoso kukiwa na shamrashamra za waislam wa miono kuona jinsi gani uislam unapiga hatua inshaalah mungu bariki uislam mungu bariki Waislam Wote Duniani Inshaalah
Siku kadhaa zilizopita katika kata ya miono kulikuwa na hafla ya uzinduzi wa msikiti wa kwangoso ulihudhuriwa na mania ya watu kutoka sehemu mbalimbali.
Tazama baadhi ya picha kutoka sehemu tukio
Tazama video fupi hii hapa chini
No comments