Picha ya pamoja kwenye uzinduzi wa Masjid Kwangoso Miono
Kutoka miono hii taarifa iliotumwa na mlezi wa jumuia ya waislam miono Maarufu kama Miono Muslim ndugu Omari Mtiga
Umoja huu ulianzishwa kwa lengo LA kusaidia kutatua changamoto zinahusu waislam miono kama vile mahitaji ya misikiti na madrasa kwa ujumla wake.
Picha ya pamoja na Alhaji Shehe Omari Lukatili na Jopo la Wana Kibindu ndani ya Miono kwenye Uzinduzi wa Masjid Kwangoso.
Toka kushoto Mhaka Ali, Shehe Saidi Magwadu, Shehe Juma Tekelo, Shehe Ibadi Omari Chau, Shehe Rama Kagoma, Shehe Chemka (Hussein Kilimo).
Alhamdulillah jambo letu limekwenda salama🙏🏾🙏🏾🙏🏾
No comments