Kukaya Miono Yakabidhi rambi rambi TSH330,500/= Msiba wa Awadhi Omary Bwanga.
Katibu Kukaya Miono Sadiki Juma Mchama Akisema neno baada ya kukabidhi rambi rambi |
Famili ya wafiwa wakihesabu kiasi cha pesa kilichokabidhiwa na katibu Kukaya Miono |
Ripoti ya Katibu Kukabidhi rambi rambi ya msiba wa Awadhi Omary Bwanga
Mwenyezi Mungu alitujaalia kuwapa faraja familia ya wafiwa japo tulichokitoa hakina thamani zaidi ya ndugu yetu lakini tumejaaliwa kukusanya kiasi cha shilingi Laki Tatu na elfu therathini na nane (Tsh. 338,000/=) kabla ya kuitoa Kwa wakala baada ya kutoa tukapata kiasi cha shilingi Laki tatu elfu therathini na mia tano (330,500/=).Hivyo basi KUKAYA MIONO imekabidhi kiasi cha shilingi Laki Tatu na elfu therathini na mia tano (330,500/=).
UONGOZI WA KUKAYA MIONO UNAWASHUKURU WANA KUKAYA MIONO WOTE MLIOJITOA KUWAFARIJI NDUGU ZETU WALIOPO KWENYE KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUONDOKEWA NA MPENDWA WAO.
HATUNA CHA KUWALIPA BALI MWENYEZI MUNGU PEKEEE NDIYE AJUAE MALIPO YENU.
ASANTENI SANA TUENDELEE KUSHIKAMANA KATIKA KILA HALI.
ASANTENI SANA NAOMBA KUWASILISHA
Admins
1. Omary Mtiga
2. Sadiki Mchama
3. Kadogo Sembe
4. Mwijuma Kiruka
5. Rahimu Matata
6. Juma Salimu
No comments