Video: Shekhe Rajabu Makoja Afafanua Faida, na kuiombea Dua Kukaya Miono
Shekh Rajabu Makoja wa Miono amezungumza kuhusu umuhimu wa Kukaya Miono, Umoja huo ulianzishwa kwa lengo la kuasaidia jamii ya wana miono hasa Katika maswala mbalimbali kama vile Elimu, Kilimo, Afya Nk.
Ameyazungumza hayo na kuwaombea dua wana umoja huo wa kukaya mionouendelee kupiga hatua.
Tazama video hapo chini
No comments