Taarifa Ya Fedha Mapato na Matumizi Ujenzi wa Madarasa S/M Miono
Na Admin Mkuu- Omari Mtiga
Ripoti ya Kazi & Fedha
——————————-
1. Makusanyo ya Awamu ya Kwanza- Kabla ya Michango ya kila siku (Daily Collections) TZS 2,931,600
2. Matumizi - Kabla ya hatua ya Kupaua & Kuezeka TZS 2,834,400
3. Salio (Balance): (1) - (2) = TZS 97,200
4. Makusanyo ya Awamu ya 2 (Michango ya Kila Siku) - Kuanzia Tar 06/05/2024 mpaka Tar 30/05/2024 TZS 2,196,720
5. Salio kabla ya Kupaua & Kuezeka: (3) + (4) = TZS 2,293,920
6. Matumizi - Hatua ya Kupaua & Kuezeka
* 23/06 Fundi. 150,000
* 24/06 Kenchi 4*2 10@6,000 = 60,000
* 24/06 Fisha Bodi 10@15,000 = 150,000
* 24/06 Kuranda Fisha Bodi 10@1,500 = 15,000
* 24/06 Usafiri Mbao zote 10,000
* 28/06 Fundi 100,000
* 10/07 Mabati Geji 28 Piece 54@26,500 =1,431,000
* 17/07 Fundi 50,000
7. Salio: (5) - (6) = TZS 327,920
NB: Makusanyo Yote TZS 5,128,320 - Matumizi Yote TZS 4,800,400 = TZS 327,920
8. Kumalizia Ujenzi - Mahitaji & Gharama
* Finishing - Plasta & Sakafu. Makisio:
* Cement 60@18,000 = 1,080,000
* Mchanga Lori 6@70,000 = 420,000
* Kokoto Lori 2@450,000 = 900,000
* Fundi - Finishing
* Milango 2@150,000 = 300,000
* Madirisha 10@80,000 = 800,000
9. Nini Kinafuata?
* Kazi ya Kumalizia Uwekaji Kifusi inaendelea
* Tunahitaji kufanya harambee nyingine ya kutunisha mfuko ili kukamilisha kazi iliyobaki. Tunatarajia kuanza utaratibu wa makusanyo ya kila siku kuanzia wiki hii, sambamba na kukumbushia wale ambao walitoa ahadi za michango hasa kwenye awamu ya kwanza kukamilisha ahadi zao.
* Pia kwenye kazi ya Kuezeka zimebaki piece 5 za mabati, yeyote anayeweza kuyanunua itakuwa msaada mkubwa kwa mradi wetu
Shukrani
Mtiga O
23/07/2024
Ujenzi wa Madarasa S/M Miono

Jumla TZS 1,966,000
7. Salio: (5) - (6) = TZS 327,920
NB: Makusanyo Yote TZS 5,128,320 - Matumizi Yote TZS 4,800,400 = TZS 327,920
8. Kumalizia Ujenzi - Mahitaji & Gharama
* Finishing - Plasta & Sakafu. Makisio:
* Cement 60@18,000 = 1,080,000
* Mchanga Lori 6@70,000 = 420,000
* Kokoto Lori 2@450,000 = 900,000
* Fundi - Finishing
* Milango 2@150,000 = 300,000
* Madirisha 10@80,000 = 800,000
Jumla TZS 4,500,000

No comments