Diwani Juma Mpwimbwi Apokea vifaa tiba kwaajili ya Upasuaji Miono.
Habari za muda huu wana Kukaya Miono wenzangu,
Mwenyekiti wa maendeleo Kata ya Miono Mh *Juma Mpwimbwi* amepokea vifaa tiba kwa ajili ya upasuaji kwenye kituo cha afya Miono
Hivyo muda si mrefu baada ya wataalam kuvifunga vifaa ivyo upasuaji utakuwa unafanyika kwenye kituo chetu cha afya Miono

No comments