Header Ads

Header ADS

Taarifa Mpya Kuhusu Orodha ya Vifaa vya madrasa Kata ya Miono

Taarifa Mpya Kuhusu Orodha ya Vifaa vya madrasa Kata ya Miono

Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatu ndugu zangu waislamu

Ndugu zangu katika Imani swala la juzuu na misahafu litakuwa limekamilika

Bado uhitaji wa vitabu vya Risalatani 45 vyenye thamani ya 45,000 tu kwa upande wa vitabu na baadae tugeukie upande wa mabusati.

Allah awalipe zaidi wale wote wanaojitoa na kuwekeza Kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.
Taarifa Mpya Kuhusu Orodha ya Vifaa vya madrasa Kata ya Miono

Kutoa sadaka yako au taarifa zaidi kuhusiana na mahitaji ya vifaa vya madrasa kata ya Miono wasiliana na Uongozi wa Miono Muslim kupitia namba hii 0786 547 782 Sadiki Mchama

No comments

Powered by Blogger.