Kukaya Miono Yachangia Zaidi Ya Milioni 15 Kwa Mienzi 8 Toka Kuanzishwa
Kukaya Miono ilianzishwa miezi 8 iliopita ikiwa na malengo ya kuchangia maendeleo katika kijiji cha miono, ni umoja ulianzishwa na wana Miono Wazawa waishio Miono, nje ya miono na hata nje ya Tanzania.
Ufuatao ni mchanganuo wa michango mbalimbali iliochangishwa na umoja huu ikiwemo michango ya ujenzi wa madarasa, Michango ya Misiba, Michango ya wadau mbalimbali na hapo kwenye picha chini kuna michango ya iliochangwa na Miono Muslim Jumla inafika Milioni 16
Mafanikio - Ujenzi wa Vyumba 2 vya Madarasa S/M Miono & Mshikamano kwenye Misiba 19 (Makusanyo ya TZS 4,665,500). Hongereni sana Wana KUKAYA MIONO.
Tuendelee kupambana kumalizia madarasa na tufanye mengine makubwa zaidi.
#NtamboYalagilwaKUKAYA
No comments