Header Ads

Header ADS

Kukaya Miono: Mchango wa Kumalizia Ujenzi wa Madarasa Mawili S/M Miono

Mchango wa Kumalizia Ujenzi wa Madarasa Mawili S/M Miono
Na Admin Mkuu Omari Mtiga.

Baada ya kumaliza kupaua sasa tunaingia awamu ya pili ya kuchangishana kwaajili ya kumalizia ujenzi wa madarasa mawili shule ya msingi Miono 

Kumalizia Ujenzi S/M Miono Hapa ndipo tulipoishia, Salio letu mpaka sasa

* Salio la nyuma TZS 327,920 
* ⁠Uuzaji wa Piece 5 za Mabati 130,000
* ⁠Mchango Samnamiono Andrew Nyaupumbwe 20,000
—————
Salio Kuu TZS 477,900
————-

2. Mahitaji Kumaliza Kazi ya Finishing (Sakafu, Plasta, Milango & Madirisha) TZS 4,500,000 

3. Utaratibu Unaofuata:

Kama Viongozi tumeafikiana kuweka mchango wa Sh 10,000 kwa kila Mwana KUKAYA ili kumaliza kazi Ya Finishing na kukabidhi madarasa yetu 2 

Lengo ni kukusanya hiyo pesa ndani ha wiki 1 kuanzia leo 

Michango inakusanywa kupitia Airtel Money 0785-429686 Airtel Money 

Mchango ni Sh 10,000. Atakayeweza kutuma zaidi tutashukuru zaidi 

image showing Kukaya Miono: Mchango wa Kumalizia Ujenzi wa Madarasa Mawili S/M Miono

Michango ya fedha na vifaa mbalimbali Kumalizia Ujenzi wa madarasa 

Kumalizia Ujenzi S/M Miono

KUKAYA MIONO
————
Mchango wa Sh 10,000 kwa kila Mwana Kukaya

1. Omari Mtiga 10,000
2. ⁠Juma Sige 10,000
3. ⁠Mwinjuma Kiruka 10,000
4. ⁠Sadiki Mchama 10,000
5. ⁠Kadogo Sembe 10,000
6. ⁠Rahim Muya 10,000
7. ⁠Juma Salum 10,000
8. ⁠Miraji Mwenguo 10,000
9. ⁠Ikramu Mipango 10,000
10. ⁠Amina Othman 10,000
11. Chief Kolwa 10,000
12. ⁠ Omari Maero 10,000
13. ⁠Mr & Mrs Andrew 10,000
14. ⁠Ali Masukuzi 10,000
15. ⁠ Mhando Kabanga 10,000
16. ⁠ Gabriel Mkongelwa 10,000
17. ⁠Sugwa O Nguya 10,000
18. ⁠ Mariam Mboko 10,000
19. ⁠ Zakia I Sembe 10,000
20. ⁠ Pili Salum 10,000
21. ⁠ Shabani Dede 10,000
22. ⁠ Dr Mzila (Samwenyasa Daudi Msangameno) 10,000
23. ⁠Saumu Juma 10,000
24. ⁠Aisha Mtaula 10,000
25. ⁠Diana P Temba 10,000
26. ⁠Ngobere R Msamau 10,000
27. ⁠Joseph Bizumo Maganga 15,000
28. ⁠Colletha Mtomalele 10,000
29. ⁠Ally Kabanga 20,000
30. ⁠
31. ⁠
32. ⁠
33. ⁠
34. ⁠
35. ⁠

——
Jumla TZS 305,000
——
Michango inakusanywa kupitia Airtel Money Namba 0785-429686
Omari Mtiga

No comments

Powered by Blogger.