Header Ads

Header ADS

Kukaya Miono Yakabidhi Rambi Rambi TSH164,643/= Msiba wa Hasani Mwinjuma Haji Abdullah.

Taarifa Ya Msiba wa Mwinjuma Haji Abdallah

Familia Ya Mwinjuma Haji Abdallah Maarufu kama (MANYEMBWE) Mkazi wa Miono Sokoni Anasikitika Kutangaza kifo cha Mwanawe Mpendwa anaitwa Hasan Mwinjuma Haji Abdallah Kilichotokea Leo Hospital Ya Muhimbili (MOI Kitengo cha Upasuaji) Tunatarajia kusafirisha leo kwenda Miono Kwaajili ya Maziko.

hivyo kama kawaida yetu msiba huu unatuhusu tusubiri utaratibu wa michango.

INNALILLAAH WA INNAILAIH RRAJIUN.

Mjumbe wa Kukaya Miono Adam Juma Nasoro Akikabidhi Rambi Rambi

Baada ya utaratibu kuwekwa wa kuchangia, kila aliuguswa na msiba huo alichangia na kiasi cha pesa kilichopatikana kiliwasilishwa kwa familia kama ifuatavyo;

Taarifa Ya Kukabidhi Rambi Rambi 

HABARI WANAGROUP

tunashukuru kwa.michango yenu juu ya msiba uliotokea kwa Ndug yetu Manyembwe
idadi ya walio changa ni 34
jumla ya TSH169000 zimechangwa. iliotoka ni 164643 gharama za kutoa ni 4357 jumla ya fedha zote ni 169000. fedha zitakabidhiwa kwa wahusika ni 164,643

AHSANTEN Mungu awalipe pale mlipopunguza.

mkeka umefungwa
_____

BH32E3P48NK Imethibitishwa tarehe 3/8/24 saa 3:35 PM umetoa kiasi cha Tsh164,643.00 kutoka kwa 494514 - MWINJUMA BAKALI MUHAMED Jumla ya Ada Tsh4,357.00 (M-Pesa Ada Tsh3,650.00 + TOZO ya Serikali Tsh707.00).

No comments

Powered by Blogger.