Kukaya Miono Yakabidhi 264,500 Msiba wa MAMA KABANGA (Hadija Salum Abdallah)
Taarifa Ya kukabidhi Rambirambi ya Mchango wa Msiba iliochangishwa na Wana Kukaya Miono Kama Ifuatavyo
Msiba wa MAMA KABANGA (Hadija Salum Abdallah)
=============
Umetoa 264,500.00 Tsh kutoka Wakala: MWINJUMA BAKARI MUHAMED. Makato 5,921.00 Tsh. Salio Tsh. TID:CO241119.1011.R99571
===========
1. Jumla ya Makusanyo TZS 270,500
2. Jumla ya wachangaji 48
3. Makato TZS 6,000
4. TZS 264,500 zimetumwa kupitia Wakala Mwinjuma Muhamed na zinakabidhiwa kwa wafiwa muda huu
Wana Familia wanasema Asanteni sana Wana Kukaya Miono kwa michango yenu. Tazama Video Hapa
Imeandikwa na Admin Mkuu.
Mtiga O
19/11/2024
No comments