Wana Miono Marathon wajiandaa kwa kuungana na Chalinze Jogging siku ya Jumamosi Nov 23, 2024
Tunawaalika watu wote waweze kuhudhuria Jogging hii yenye kauli ya kuhamasisha Wananchi wote Kupiga kura kuweza kupata Viongozi wa Serikali za mitaa.
Nauli ya kwenda na kurudi kwa wana Miono ni Sh 5000 tu Kwa Kila Mmoja.
Kwa mawasiliano na malipo kuconfirm ushiriki wako, piga namba 0716975502 au 0783941121
TUNAWAKARIBISHA SANA
No comments