Ripoti Ya Kukaya Miono Kuelekea Mwaka Mmoja tangu Kuanzishwa.
Kuelekea Mwaka 1 tangu Kuanzishwa…
1. Kuanzishwa - Tar 6/12/2023
2. Tar 6/12/2024 - takribani wiki 3 kuanzia sasa Kukaya MIONO itatimiza mwaka 1 tangu kuanzishwa
3. Mafanikio
3.1 Kuunganisha Wana Miono Karibu 400 (377) toka ndani na nje ya Miono, pia nje ya Tanzania. Kuna Wana Miono mpaka Canada, Poland, Uingereza, Marekani nk nk
3.2 Ujenzi wa Vyumba 2 vya madarasa S/M Miono. Jitihada kadhaa zinaendelea kupata fedha za kukamilisha ujenzi na kukabidhi Mradi kwa serikali
Jumla ya michango TZS 11,214,320 (MILIONI 11 laki 2…)
3.3 Kuchangia Misiba 30. Jumla ya makusanyo TZS 7,412,000 (MILIONI 7 na Laki 4…)
3.4 Kuchangia kwenye dharura ya moto. TZS 259,000
3.5 JUMLA KUU ya Michango kupitia Kukaya MIONO - ndani ya mwaka 1 - TZS 18,885,320 (MILIONI 18 Laki 8…)
4.0 Changamoto
4.1 Ushiriki mdogo kwenye michango. Mfano - Kwenye misiba Ushiriki ni Wastani wa 12% tu (watu 45) tu ya wana group (377).
4.2 Kutembelea Miono.
Bado hatujafanikiwa kutembelea miradi na yanayojiri Miono (kwa pamoja) ili kujenga uelewa wa pamoja wa tulipo kama jamii na jinsi gani tuhamasike kuchangia na kuhamasisha wadau wa maendeleo
4.3 Ukiacha elimu, hatujaziendea sekta nyingine za kijamii/kuchumi kiutekelezaji - Afya, Kilimo nk
5. Ombi/Wito
Wana Kukaya Miono tushirikiane kukuza hamasa ya umuhimu wa umoja huu. Hii ni tunu kwetu na jamii yetu. Ndani ya mwaka tumewezesha michango ya zaidi ya MILION 18. Tukiendelea kujali, kuhamasika na kutenda tutafika mbali zaidi.
Hanyamala komnomo siheza
Sesama Samasimba
Imeanikwa na Admin Mkuu.
Mtiga O
19/11/2024

No comments