Waumini wa Msikiti wa Kwangoso wawashika mkono Kikaro sekondary.
Kwa niaba ya waumini Shekh mkuu wa kata ya Miono Alhaji Sheikh Omari Lukatili alikabidhi kiasi cha fedha kwa ajili ya kusaidia baadhi ya vifaa kwa vijana wetu
Kwa yeyote atakaeguswa awachangie vijana wetu kupata mahitaji muhimu ili yawasaidie kwenye masomo yao
Mahitaji ni; Neti, Mashuka, Madaftari, Sabuni, Mafuta ya kupaka, Nk
No comments